BAADHI ya mafundi wa gereji za vyombo vya maringi mawili ndani ya jimbo la Wawi, wakicheza mziki huku wakiwa na Tool box ambazo zimebeba vifaa vya Gereji, walizokabidhiwa na Mbunge wa Jimbo la Wawi Khamis Kassim Ali, tool box moja imegharimu shilingi laki 500,000/=.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MBUNGE KOOLA ASHIRIKI MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN - HIMO
-
VUNJO.
MBUNGE wa Jimbo la Vunjo, Enock Koola amewapongeza walimu wa madrasa kwa
juhudi zao za malezi ya kiroho na maadili kwa watoto na vijana kupitia
...
5 hours ago
0 Comments