Wananchi wa Katoro Geita na Buseresere Chato wakiwa wamesimama
barabarani huku wengine wakitandika kanga na nguo kama
ishara ya Heshima ya kumuaga aliyekuwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John
Pombe Magufuli wakati akipitishwa kuelekea Nyumbani kwake Chato leo tarehe 24
Machi 2021.
HALOPESA YAGUSA FAMILIA ZAIDI YA 60 KUELEKEA SIKUKUU YA EID (KIBAHA, PWANI)
-
Katika kuadhimisha Sikukuu ya Eid El Fitr, HaloPesa imeendesha zoezi maalum
la kijamii (CSR) kwa kutoa msaada wa mahitaji muhimu kwa familia zaidi ya
...
10 hours ago








0 Comments