Bendela katika jengo la Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Jijini Zanzibar zikipepea nusu mlongoti kwa ajili ya kuombeleza kifo cha Rais Mstaaf wa Zambia Hayati Kenneth Kaunda, Tanzania ikiungana na Wananchi wa Zambia katika kuombeleza Kifo cha Rais Mstaafa wa Zambia.
WATOA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA WAPONGEZA HATUA YA FCC KUWAFIKIA
-
*TUME ya Ushindani (FCC) kupitia Kanda ya Ziwa imeendelea kusogeza huduma
karibu na wananchi kwa kutoa elimu ya ulinzi wa mlaji kupitia Kliniki ya
Ml...
7 minutes ago
0 Comments