Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni 29,2021 akitokea Jijini Dar es salaam.
FORLAND YAKUBALIANA NA RUVUMA, LINDI KUHUSU UHIFADHI WA MISITU
-
SERIKALI ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na serikali ya
Finland zimesaini hati ya makubaliano ya kikanda [MoU] chini ya Mradi wa
Maende...
2 minutes ago


0 Comments