Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku mbili leo Julai 16,2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Burundi Mkuu wa Burundi Mhe. Prosper Bazombanza alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku mbili leo Julai 16,2021.(Picha na Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yake Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku mbili leo Julai 16,2021.(Picha na Ikulu)
Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku mbili leo Julai 16,2021.
“WCF, NIT Waungana Kupunguza Ajali Barabarani na Kulinda Nguvu Kazi ya
Taifa”
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma,
amesema kuwa ushirikiano kati ya WCF na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji
(NIT) u...
4 hours ago




0 Comments