Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Aboud Hassan Mwinyi akikata utepe kuashiria kuzindua utumiaji wa Risiti za Kieletroniki katika huduma za kuingia na kupanda mapembea kwa kutumia risiti za Kieletroniki katika Uwanja wa Watoto Kariakoo Jijini Zanzibar , hafla hiyo imefanyika katika Kiwanja cha kufurahishia Watoto Kariakoo Jijini Zanzibar, na (kushoto kwake) Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Ndg.Nassor Shaban Ameir .
Wanafunzi 40 Mabalozi wa Utalii Watembelea Ngorongoro na Serengeti
-
Na Pamela Mollel,Babati
Wanafunzi 40 kutoka shule nne zilizopo ndani ya Hifadhi ya Jamii ya
Wanyamapori ya Burunge (Burunge WMA) wilayani Babati, mkoa wa M...
8 hours ago

0 Comments