Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Pemba Ndg.Hamad Mussa Msafiri (kushoto), akiwakabidhi shilingi Milioni tatu(3,000,000/=) Wanakikundi cha Umoja ni Nguvu cha Mvumoni Chake Chake Pemba, ikiwa ni Bima ya mkono wa Pole kwa vikundi, inayotolewa na benki ya NBM baada ya mmoja ya Mwanakikundi hicho kufariki dunia.
Bilioni 12.8 zatumika Matengenezo ya Km 13.1 za barabara Iringa-Mtera
-
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Barabara Mhandisi Rashid Kalimbaga
akimuelekeza jambo Meneja wa TANROADS Iringa Mhandisi Yudas Msangi
(alieshika karatasi)...
1 hour ago
0 Comments