Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Madaktari kutoka ‘Haukeland University Hospital’ ya Nchini Norway (kushoto), ambao wamesaidia ujenzi wa Hospital ya Wagonjwa wa Akili Kidongochekundu Wilaya ya Mjini,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 17/11/2021
SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI-DKT. MWIGULU
-
-Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na
uwajibikaji
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada...
6 hours ago
0 Comments