Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa Mabalozi wa nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 15 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya Mkutano wa OACPS uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 15 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni katika Makao Makuu ya Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya kuhutubia leo tarehe 15 Februari, 2022. PICHA NA IKULU
CEOrt, TWCC kushirikiana ushiriki wa wanawake katika kukuza uchumi wa
biashara
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Watendaji Wakuu nchini (CEO Roundtable of
Tanzania-CEOrt) B. Santina Benson (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na
Mkuru...
7 hours ago
0 Comments