Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akishiriki
Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29
Machi, 2022.
TAKUKURU Lindi Yaokoa Zaidi ya Shilingi Milioni 16
-
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU Mkoa wa Lindi,
imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 16 baada ya kubaini na kuziba
mianya ya ub...
6 minutes ago

0 Comments