Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akizungumza na Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania zhang Zhisheng wakati alipotembelewa na Balozi huyo ofisini kwake Chukwani kwa ajili ya Kujitambulisha pamoja na kuendelea kuimarisha ushirikiano uliopo baina ya China na Zanzibar.
DKT. MAULID - USIMAMIZI FANISI WA SHUGHULI ZA ELIMU NI CHACHU YA MAFANIKIO
KATIKA SEKTA YA ELIMU
-
8 Januari, 2026
Hayo yamesemwa leo tarehe 08 Januari, 2026 na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Maendeleo ya Uongozi wa Elimu – ADEM Dkt. Maulid J. Maulid alipoku...
1 hour ago
0 Comments