Kocha Mkuu wa timu ya Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar (ZASWA) Abubakar Khatib Haji (Kisandu), nikiongozana na kocha msaidizi Suleiman Mkubwa Mundhir Nyanga (kulia kwangu) na meneja wa ZASWA Ally Mohammed (kushoto kwangu), tukiwasili Dar es Salam tukitokea Zanzibar kwaajili ya safari ya Kwenda Wilayani Longido, Mkoa wa Arusha. ZASWA Fc tumealikwa kwenye Bonanza maalumu huko na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Longido Alawi H. Fuom .
DKT. MWIGULU AKAGUA HALI YA BANDARI YA BARAZANI MKOANI LINDI
-
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 21, 2025 amekagua hali ya
bandari ya Barazani mkoani Lindi na kuiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania
kukamlish...
1 hour ago

0 Comments