Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid Akizungumza na Mwenyekiti wa Manispaa ya Jiji la Posterdam Nchini Ujerumani Pete Heuer pamoja na Ujumbe wake ambao wapo Zanzibar kwa ajili ya kuadhimisha miaka 5 ya udugu na Baraza la Manispaa Mjini.
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND
-
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya
Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland,
kuanzia ta...
22 minutes ago
0 Comments