Usafiri wa Gari za Abiria maarufu kwa Taxi katika Visiwa vya Zanzibar miaka hiyo gari hizi zilikuwa zikitoa huduma ya usafiri kwa Wananchi na Wageni wanapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. Kwa sasa Gari hizi zimekuwa adimu kuonekana ni moja ya Historia ya Zanzibar gari hizi zimekuwa zikitimoka dahi katika miaka ya 90 zilikuwa zikitowa huduma ya Taxi Unguja na Pemba.
EWURA KANDA YA KASKAZINI YAWANOA VIONGOZI WA WILAYA YA KOROGWE
-
*Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kupitia Kanda ya
Kaskazini, leo tarehe 5 Machi 2026 imetoa elimu kwa viongozi wa Wilaya ya
Kor...
36 minutes ago


0 Comments