Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha tarehe 21 Julai 2022.
TRA Yazindua Mafunzo ya IDRAS, Taasisi 60 Kuunganishwa
-
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema hadi kufikia uzinduzi rasmi wa
Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) unaotarajiwa
kufanyika Febr...
15 minutes ago
0 Comments