Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa madaktari kutoka Jumuiya ya Korea National Turbaculosis Assosiation, inayoshuhulikia Maradhi ya Kifua Kikuu (TB), walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo (wa tatu kulia) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Dr.Kyung Manho .[Picha na Ikulu] 15/08/2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Korea National Turbaculosis Assosiation, inayoshuhulikia Maradhi ya Kifua Kikuu (TB) Dr.Kyung Manho (kushoto) wakati wa mazungumza na Ujumbe huo leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 15/08/2022.
WIZARA YA AFYA YASIKITISHWA NA WANAOTAPELI KWA JINA LA MCHENGERWA
-
WIZARA ya Afya imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wenye nia ovu
ambao wamekuwa wakitumia jina la Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary
Mchengerwa ku...
8 hours ago
0 Comments