Ujumbe wa Serikali ya Tanzania unaoongozwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu kwa kushirikiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab umetembelea Uwanja wa Kimataifa wa Khalifa ulipo Jijini Doha, Qatar. Uwanja huo pia unajulikana kama Uwanja wa Taifa, ni moja kati ya uwanja utakaotumika kwenye mashindano ya Kombe la Dunia yatakayoanza mwezi Novemba 2022.
Vaso Psycho Ni Mwanzo Mpya Wa Ushindi Ndani Ya Meridianbet
-
MERIDIANBET imezidi kuthibitisha ubora wake katika soko la burudani
mtandaoni kwa kuuleta mchezo wa kipekee wa Vaso Psycho kutoka Expanse. Huu
ni mchezo...
16 hours ago


0 Comments