6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azungumza na Rais wa Kampuni ya LG ya Korea

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Rais wa Kampuni ya LG ya Korea, Bw. Joo Wan Cho kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Kampuni ya LG  ya Korea Bw. Joo Wan Cho, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma Novemba  3, 2022. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments