6/recent/ticker-posts

NIC Insurance Yakabidhi Zawadi kwa Mchezaji Bora wa Mchezo Kati Azam na Jamhuri Uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja

Afisa wa Shirika la Bima la Taufa (NIC) Bi. Lilian Manumbu akikabidhi kitita cha fedha  shilingi Laki Tano Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Abdul Sopu wa Timu ya Azam. 

 

Post a Comment

0 Comments