RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha
Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya
Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini
Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja
vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023,
na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge.
MBUNGE JAFO: MIAKA MITANO IJAYO NI YA MCHAKAMCHAKA WA MAENDELEO KISARAWE
-
*Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, akizungumza na Madiwani
wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe alipokutana nao kwa ajili ya
kuzungumzi...
17 minutes ago
0 Comments