Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja umeaza kwa barabara ya mnazi mmoja, ujenzi huo unaofanywa na Kampuni ya ujenzi kutoka China ya CCECC, umeaza kwa kuondoa lami ya zamani kwa ajili ya ujenzi mpya wa barabara hiyo.
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AWASHAURI VIONGOZI KUJENGA UTAMADUNI WA
KUWASAIDIA WANANCHI
-
Mwakilishi wa Jimbo la Kiwani ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewashauri viongozi kujenga utamaduni
wa kuwas...
57 minutes ago





0 Comments