Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Muigizaji maarufu wa Filamu nchini China, Jin Dong cheti cha Ubalozi wa Heshima wa Kutangaza Utalii wa Tanzania nchini China wakati alipotembelea Jiji la Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
MCHAWI WA MWANAMKE SI MWANAMKE
-
Wanawake watumishi wa Mamlaka Hifadhi ya Ngorongoro katika muendelezo wa
kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wamedhihirisha kwamba mchawi wa
mwanamke...
34 minutes ago


0 Comments