Mchezaji wa Timu ya Zimamoto akijiandaa kumiliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar"PBZ Premier League 2023/2024, mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar wiki iliyopita. Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
SERIKALI YAOMBWA KUTAZAMA UPYA GHARAMA ZA USAJILI NA KODI KWA ONLINE MEDIA
-
Serikali imeombwa kupunguza gharama za usajili wa vyombo vya habari
mtandaoni (Online Media) ili kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kujiajiri.
Ombi hilo l...
2 hours ago






0 Comments