Mshambuliaji wa Timu ya Maendelea akipiga mpira golini kwa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023-2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedungu.Timu ya Mafunzo imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
JAB: Uhuru wa Vyombo vya Habari Upo, Lakini Lazima Uendane na Maadili
-
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesisitiza kuwa uhuru wa
vyombo vya habari nchini upo, unalindwa kisheria na unatambul...
1 hour ago






0 Comments