Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha
ya pamoja na baadhi ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika
kabla ya Mkutano wa Jukwaa la Majaji hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount
Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya
Picha ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kutoka kwa
Mwenyekiti wa Jukwaa hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Namibia Mhe. Peter Shivute
wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha
tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu
zawadi ya picha ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika mara
baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa
Namibia Mhe. Peter Shivute wakati wa mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Mount
Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.
Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF)wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.
Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF) uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 Comments