Mshambuliaji wa Timu ya Simba akijiandaa kumpita beki wa Timu ya APF.FC wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi unaofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar, hadi sasa kupindi cha pili kikiendelera Timu hizo bado kufunganga ikiwa ni Dakika ya 69 ya mchezo huo kipindi cha pili.
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
8 hours ago













0 Comments