Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Mheshimiwa Dkt. Hage G. Geingob. Ndg Kinana amesaini Kitabu hicho katika Ofisi za Ubalozi huo uliopo Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2024.(Picha na CCM)
UJUMBE RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WANYAMAPORI – 2026
-
Kauli Mbiu ya Mwaka 2026:
“Medicinal and Aromatic Plants and Their Contribution to Human Welfare: The
Way Forward for Sustainable Use”
(“Mimea ya Dawa na...
51 minutes ago




0 Comments