Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia ambaye ni mmoja wa
Waandaaji wa Kitabu hicho Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Makabidhiano hayo
yamefanyika OfisiNI kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.
WANAWAKE TTCL WAWASAIDIA WATOTO WAGONJWA WA MOYO JKCI
-
*Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakiwa
na Daktari Bingwa Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto - JKCI, Dk.
Naizihijwa Majan...
5 hours ago
.jpg)
.jpg)
0 Comments