Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Bakar akishudia Mkazi wa Mtaa wa Karyambwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera, Bw. Vedastus Manya Nsinde akiboresha taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika kituo cha Shule ya Msingi Rubungo wakati zoezi la uboreshaji wa Daftari ulioanza jana Agosti 5,2024 Mkoani Kagera. Mikoa ya Kagera na Geita imeanza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na litaendelea hadi Agosti 11, 2024.(Picha na INEC).
BoT YAFAFANUA SABABU ZA KUNUNUA NA KUUZA DHAHABU
-
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) amesema kuwa hatua ya benki hiyo
kununua na wakati mwingine kuuza dhahabu ni utekelezaji wa matakwa ya
sheria pamoja...
1 hour ago
0 Comments