MUONEKANO wa barabara inayokwenda katika eneo
la Mtaa
wa Viwanda Dunga Zuze Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, leo 7-8-2024
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
ameweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Eneo la Ujenzi wa Viwanda Dunga Zuze
VIJANA WAHIMIZWA KUWA WAZALISHAJI, SIO WACHUUZI, SERIKALI YAWEKA MIKAKATI
MAHUSUSI
-
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv
SERIKALI imeweka mkazo kwa vijana wa Tanzania kuachana na uchumi wa uchuuzi
na usambazaji wa bidhaa kutoka nje, na badala ...
22 minutes ago


















0 Comments