6/recent/ticker-posts

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Afrika ya Kusini Cyril Ramaphosa Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa ambae pia ni Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa nchi hiyo Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo Maalum, Ikulu ndogo Tunguu,  Zanzibar tarehe 19 Disemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa ambae pia ni Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa nchi hiyo Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, Ikulu ndogo Tunguu,  Zanzibar tarehe 19 Disemba, 2025. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa ambae pia ni Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa nchi hiyo Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, Ikulu ndogo Tunguu,  Zanzibar tarehe 19 Disemba, 2025.

Post a Comment

0 Comments