MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungwa Skafu na Kijana wa UVCCM Abdulnassir Simba
Kitwana, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu
SUZA Wilaya ya Kati Unguja,kuhudhuria Mahafali ya Tatu ya Wanafunzi wa Seneti
ya Vyuo na Vyuo Vikuu Zanzibar, yaliyofanyika leo 28-9-2024 katika ukumbi huo
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
3 hours ago

















0 Comments