Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda kwenye Kikao maalum cha maandalizi ya
Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) leo tarehe 12 Novemba, 2024 Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
RAIS SAMIA AWAVUTA IKULU Dk. MPANGO NA KASSIM MAJALIWA WAWE WASHAURI WAKE
-
*Asema ndio sababu za kumteua Profesa Kabudi kuwa Ofisi ya Rais Ikulu
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu H...
6 minutes ago

.jpg)
0 Comments