Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) kwa njia ya Mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 11 Desemba, 2024.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments