MUONEKANO wa Majengo ya Mradi wa Hoteli ya SSPD –Buhairan –Plan Hotel SA,
inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, iliyowekwa Jiwe la Msingi la ujenzi
wake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
IFM YATAKIWA KUTENGENEZA MASHIRIKIANO NA WADAU SEKTA YA ELIMU KWA MASLAHI
YA TAIFA.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt Hatib Kazungu ametoa Rai kwa Uongozi wa
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)Tawi la Dodom...
11 minutes ago



















0 Comments