MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia mezungumza na wazee wa Butiama.
MBUNGE JIMBO LA KAWE AFANYA KIKAO NA KAMATI YA MAENDELEO KATA YA MABWE
PANDE,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
-
Mabwepande, Dar es Salaam
Mbunge wa CCM Jimbo la Kawe, Geofrey Timoth,Desemba 17,2025 amefanya ziara
ya kikazi katika Kata ya Mabwepande kwa lengo la kuka...
2 minutes ago


0 Comments