Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kabla ya kufunga Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 30 Mei,2025.
Viongozi
mbalimbali kutoka Vyama Rafiki Barani Afrika wakisoma hotuba zao kwenye Mkutano Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika
katika ukumbi
wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 30 Mei,2025.
Shamra shamra za
Mkutano Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 30 Mei,2025.
Shamra shamra za
Mkutano Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 30 Mei,2025.

.jpeg)

0 Comments