Balozi wa Tanzania Nchini Msumbiji Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad alikutana na Mshauri wa Rais wa Msumbiji katika Masuala ya Uchumi na Maendeleo, Dkt. Mateus Magala na kuzungumza naye masuala mbalimbali ya ushirikiano katika Sekta ya Uchumi baina ya Tanzania na Msumbiji.
MADIWANI HANDENI MJI WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
-
Na Mwandishi Wetu, Handeni TC
Madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni wameaswa kuzingatia miiko ya
viongozi wa umma na kudumisha uadilifu katika utekel...
35 minutes ago


0 Comments