6/recent/ticker-posts

Inna Lilllah Wainna Ilayhi Rajioun Abdallah Mohammed Bomba

Inna Lilllah Wainna Ilayhi Rajioun Abdaalah Mohammed Bomba amefariki leo hii 10-6-2025 asubuhi na maziko kufanyika kesho saa nne asubuhi 11-6-2025.

Mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi na kumsamehe makosa yake Ameen.
Inna Lilllah Wainna Ilayhi Rajioun Abdallah Mohammed Bomba 
 

 

Post a Comment

0 Comments