Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Bi. Triphonia Thadei Mng'ong'o hati ya kiwanja chake kilichopo Mtuba jijini Dodoma, alipotembelea Kliniki ya Ardhi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025. Katikati ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
6 hours ago
0 Comments