Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho uliofanyika kwa njia ya Mtandao katika ukumbi wa mkutano wa NEC (White House) Makao Makuu ya CCM, Jijini Dodoma tarehe 26 Julai, 2025. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mkutano huo Mkuu kwa mara ya kwanza kwa njia ya mtandao na kuwakutanisha Wajumbe wote wa Mkutano huo kutoka nchini.
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
6 hours ago



0 Comments