Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Nigeria akipiga shutu golini kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar Hereos katika mchezo wa Kirafiki wa uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung. Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana, mchezo uliyofanyika leo 28-7-2025.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments