Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mgombea huyo wa CCM alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
WANAWAKE WAHAMASISHWA KUJITHAMINI NA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZA
MAENDELEO
-
Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Mwanamke wa Thamani, Hajira Bitebo,
amewahimiza wanawake kujishughulisha na shughuli za maendeleo na kufanya
kazi kwa bi...
47 minutes ago


.jpeg)
.jpeg)






.jpeg)
0 Comments