Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe. Majalio Paul Kyara. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Satia Mussa Bebwa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 13, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
TRA NA TAFFA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA USIMAMIZI WA MAADILI YA WATUMISHI
-
*Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA), Bw. Shaibu Mmari, amesema ushirikiano kati ya TRA na mawakala wa
forod...
50 minutes ago
0 Comments