Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Democratic Party (DP) Mhe. Abdul Juma Mluya. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Sadoun Abrahman Khatib (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 13, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
WAHARIRI WATEMBELEA MRADI WA REA USAMBAZAJI WA UMEME VITONGOJI SITA
WILAYANI LUDEWA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetembelea mradi wa kusambaza umeme
katika vitongoji sita vilivyopo ukanda wa Ziwa Nyasa...
1 hour ago
0 Comments