Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United Democratic Party (UDP), Mhe. Saum Hussein Rashid. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Juma Khamis Faki (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
WAJA ATOA SADAKA KWA MISIKITI 65 GEITA MJINI
-
Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Chacha Wambura, ametoa tende kwa misikiti
65 iliyopo katika jimbo lake ikiwa ni sadaka kwa waumini wa dini ya
Kiislamu wana...
17 minutes ago
0 Comments