Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Dr. Abdallah Juma Sadala (Mabodi) aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Mkoani Dodoma. tarehe 22 Agosti 2025.
Wahitimu wa Furahika wahimiza kufuata maadili katika kazi
-
NA MWANDISHI WETU
WAHITIMU 121 wa Chuo cha Ufundi Stadi, Furahika wametakiwa kuzingatia
maadili wanapokwenda kwenye mafunzo kwa vitendo ili kupata fursa ya...
2 hours ago
.jpg)
0 Comments