Msajili wa Hazina Zanzibar Waheed Ibrahim Sanya akizungumza na kutowa maelezo wakati wa Utiaji wa Saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa jengo la ZURA Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-9-2025.
VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAPELEKA HUDUMA ZA MAKAMBI YA AFYA BURE KWA
WAKAZI WA MOROGORO.
-
Morogoro, Tanzania, 10 March 2026: Miaka ya hivi karibuni, magonjwa
yasiyoambukiza yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa afya ya jamii nchini
Tanzania. M...
38 minutes ago
























0 Comments