Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Philip Mpango, akiwasili Jijini New York nchini Marekeani leo tarehe 21
Septemba 2025. Makamu wa Rais yupo nchini Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Kikao
cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 80). 
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
6 hours ago

.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 Comments