Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini Ndugu Zitto Zuberi Kabwe akihutubia maelfu ya watu waliojitokeza katika uzinduzi rasmi wa kampeni zake katika jimbo hilo leo wakati akitangaza sera za chama chake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.
TSL yazindua mpango wa ubunifu wa pamoja kupanua fursa za uwekezaji
-
Kampuni ya Tanzania Securities Limited (TSL) imepiga hatua nyingine kubwa
leo kwa kuzindua mipango miwili ya uwekezaji wa pamoja na ya kibunifu:
Mfuko wa I...
1 hour ago



0 Comments